WABUNGE
wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kauli moja wamezitaka nchi
za Afrika Mashariki kuiga kile anachofanya Rais Magufuli ili kuweza
kuleta ufanisi katika nchi zao.
Aidha
taarifa kutoka katika kikao cha wabunge hao kimependekeza kauli mbiu ya
Dr Magufuli ya 'hapa kazi tu'itumike kama sera ya mataifa ya Afrika
Mashariki ili kujiletea maendeleo
Toka
aingie madarakani mapema mwezi uliopita Rais Magufuli ameweza kufanya
mambo makubwa ambayo yamewavutia watu mbalimbali wa ndani na nnje ya
nchi haswa katika kusimami mapato ya Serikali

0 comments:
Post a Comment