JARIDA maarufu la hali ya uchumi duniani la Forbes limeitaja nchi ya Kenya kuwa kinara wa Rushwa duniani mongoni mwa nchi zinazoendelea.
Taarifa katika jarida hilo maarufu kwa kutangaza hali za uchumi wa watu mbalimbali na mataifa tajiri limesema kuwa hali hiyo huenda ikazidi kuzorotesha uchumi wa taifa hilo linalokuja kwa kasi duniani katika sekta ya uzalishaji
Kenya is among the world's most corrupt countries, says one study. It is destroying the country's economy: https://t.co/deTVntczM2
— Forbes (@Forbes) December 8, 2015

0 comments:
Post a Comment