Wednesday, December 23, 2015

Mkuu Mpya wa mkoa wa Kilimanjaro Mh. Amos Makalla alipozindua mradi wa Maji kijiji cha mabogini,
kitongoji cha shabaha. Mradi unagharimu sh 343 milioni umetekelezwa na serikali kupitia mamlaka ya Maji safi Moshi (MUASA) na utanufaisha watu zaidi ya 3,000
Ameagiza wananchi wote mkoani kilimanjaro kulinda vyanzo vya Maji ikiwemo kupanda miti na kutokufanya shughuli za kuharibu vyanzo vya Maji.
Aidha amewatakaka wananchi kulinda miundombinu ya Maji kwa kufanya hivyo miradi ya Maji itakuwa endelevu














0 comments:

Post a Comment