December 8 2015 usiku Escape One
Mikocheni Dar es salaam utakua usiku wa zile selfi 16 kusherehekea miaka
16 ya Clouds ambapo pia Koffi Olomide kutoka Congo DRC atakuepo
kuiachia burudani kwenye stage akiwa na dancers wake wote kama
anavyoonekana nao kwenye hizi picha baada ya kutua Dar es salaam.
.Koffi Olomide akifanya exclusive interview na ripota wa millardayo.com & Ayo TV
0 comments:
Post a Comment