Posted by Williammalecela.com on Saturday, December 26, 2015
MAASKOFU Mkoani Dodoma wamewaomba Watanzania kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli kwa lengo la kumuongezea ulinzi ili aendelee kuisafisha nchi ambayo iligubikwa na harufu ya ufisadi, rushwa pamoja na kutokuwajibika kwa watendaji wake.
0 comments:
Post a Comment