Monday, December 7, 2015

JENERALI ULIMWENGU
 
"Siwezi kuacha siasa kwa sababu ndiyo kila kitu, lakini nimeachana na siasa za majukwaani kwasababu hazina tija kwa taifa, ili uwe mwanasiasa inabidi uwe na fedha, ujipendekeze kwa wakubwa, uwe muongo, laghai na mfitini, siwezi kuwa hivyo,"..
 
©Jenerali Ulimwengu.

0 comments:

Post a Comment