"Jana
tarehe 11 Dec 2015 niliapa kuwa Diwani wa Halmashauri ya Wilaya ya
Chalinze. Kiapo hiki kilinipa nafasi pia ya kusimama na kueleza juu ya
Dira mpya ya Maendeleo ya Jimbo na Halmashauri yetu. Hakika ni Mwanzo
mzuri wa kuelekea kwenye Chalinze yenye Maendeleo ya Uhakika.#WachaKaziIendelee #MagufuliRaisiWangu #MagufuliMoyoniMwangu"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment