Posted by Williammalecela.com on Monday, December 07, 2015

"Mhe Magufuli hayo unayo yafanya ndio watanzania tumekuwa tukiyapigia kelele miaka yote na tukaonekana wabaya.
Tuko sambamba na wewe
tunakuunga mkono safisha nchi.. usilegeze upanga
wako wala usijali vitisho vyao. Tunakuombea ushujaa zaidi na roho ya
Mungu iwe nawe"
0 comments:
Post a Comment