Rapa Meek Mill hana mpango wa kumpiga risasi hasimu wake rapa Drake wa Young Money. Watu wa karibu na Meek Mill wamesema mstari kwenye wimbo wake mpya hauna mahusiano yoyote na Drake.
Weekend hii video ya Meek Mill imeonekana mtandaoni ikiwa na mistari ya kumtishia Drake. Ni wimbo utakaokuwepo kwenye mixtape mpya ya “Dreamchasers 4”
“I can’t wait until we run into ya. Ima put a gun in ya.”
0 comments:
Post a Comment