Sunday, December 20, 2015

Ni shindano ambalo limefanyika nchini China kwa mara ya saba kuanzia mwaka 2003 ambapo kwenye fainali za 2015, mshindi ametangazwa kuwa ni Mireia Lalaguna Royowa Hispania ambaye umri wake ni miaka 23, wanasema kingine kikubwa kilichompa nafasi ni umahiri wake mkubwa wa kuongea mbele ya hadhara.

miss world 2
Nchi zilizoingia kwenye Top 10 ya shindano hili la 65 ni Russia, Philippines, Guyana, Lebanon, Spain, Jamaica, France, South Africa, Spain and Australia.
M1

m2
m3
m4
miss world 4
miss world 3
Tanzania ilikua ikiwakilishwa na Mrembo Lilian Kamazima ambaye pia alifanikiwa kuingia kwenye kumi bora ya Miss World beauty with a purpose ambayo ilitokana na kuitumikia jamii kwenye project yake ya tatizo la Fistula kwa kina mama.
Kamazima
M5
m6
m7
U

0 comments:

Post a Comment