Mkuu wa mkoa Kilimanjaro atembelea kiwanda cha sukari TPC Moshi. Aridhishwa na uzalishaji wa kiwanda kabla ya ubinafishaji kilikuwa kinazalisha tani 35,000 na sasa kinazalisha tani 105,000. Kilio cha kiwanda ni uingizwaji holela wa sukari. Amehaidi kushirikiana na serikali mkoa wa Tanga kuzidhibiti sukari inayoingizwa kupitia Tanga. Hapa kazi tu tutawasaka wote wanaoingiza sukari kinyemela,

0 comments:
Post a Comment