Posted by Williammalecela.com on Saturday, December 26, 2015
Mkuu wa mkoa wa kilimanjaro aongoza Harambee ya ujenzi wa kanisa la KKKT usharika wa Lyamungo kati. Fedha shilingi milioni 60 zimechangwa na Fedha zinatakiwa kukamilisha ujenzi ni sh milioni 100
Amewapongeza kwa wote waliochangia na zilizobaki milioni 40 Harambee nyingine itapangwa.
0 comments:
Post a Comment