Thursday, December 3, 2015

Mkuu Mpya wa mkoa wa Kilimanjaro Mh. Amos Makalla, alipohudhuria hafla ya kuwapongeza walimu wilaya ya Hai kwa kufanikisha ufaulu darasa ka saba. Wilaya ya Hai imekuwa ya kwanza kiwilaya na ya nne kitaifa. Pamoja na kuwapongeza kwa kazi Nzuri Ameagiza sektetarieti ya mkoa na halmashauri zote kushughulikia kero za walimu madai ya mishahara, kupandishwa ma daraja na kujibu barua za walimu kwa wakati.





0 comments:

Post a Comment