Friday, December 11, 2015

Mkuu wa wilaya Mhe Makonda kafanya ziara ktk masoko ya wilaya ya Kinondoni ili kujionea mazingira ya masoko na kuona njia bora ya kutatua kero. Mambo 4 ameyabaini. Watu kuvamia mipaka ya soko na kujenga makazi
Vyoo vya soko kuwa vichafu,vibovu huku vikiendeshwa kibiashara na mbaya zaidi mvua ikinyesha vinyesi vinatapakaa sokoni. Machinjio ya kuku kutokuwa na viwango.Baadhi ya wafanyabiashara kuhamia barabarani kwa kigezo cha kukosa wateja.
 Baada ya kujionea na kuongea na wafanya biashara Mhe Makonda ameitisha kikao cha viongozi wa masoko pamoja na wajumbe wake siku ya jnne tareh 15/12 /2015 saa 4 asbh ili kujadili na kuanza kuchukua hatua za kuboresha masoko hayo kwa kiwango cha kisasa.










0 comments:

Post a Comment