Saturday, December 19, 2015




IKIWA zimepita siku chache toka Rais Magufuli atangaze kuwa Serikali yake imekusanya zaidi ya trilioni 1.3 kama kodi katika mwezi huu ,baadhi ya wavunge wa upinzani wameonyesha kukunwa na hatua hiyo.

Joshua Nassari ambaye ni mbunge machachari wa Chadema katika jimbo la Arumeru Mashariki amefunguka kuwa jambo hilo ni jema na la faa kupongezwa ,Nassari amesema hayo na kufanya nkuwa mbunge wa kwanza wa Chadema kukubali juu ya kasi Magufuli katika utendaji kazi

TZ ndo nyumbani kwangu, kwa watoto na watoto wa watoto wangu. MAMA TZ NI MUHIMU ZAIDI KWANGU Kwa utaratibu huu wa...

Posted by Josh Nassari on 17 Disemba 2015

0 comments:

Post a Comment