Saturday, December 26, 2015


msagasmsagasumu akiimba wimbo wa shemeji unanitega
Bingwa wa muziki wa Singeli, Msaga Sumu akifanya yake Sikukuu ya Krismasi ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar .

mashabikiiiiMashabiki  wakimshangilia Msaga Sumu (hayupo katika picha).
msagasumu akikamua ngoma ya huyu mtotoMashabiki  akiendelea na shoo yake.
msagasumumsagasumuuAkiendelea na Makamuzi yake mida ya Saa 5: 50 usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment