"Mhe
Magufuli hayo unayo yafanya ndio watanzania tumekuwa tukiyapigia kelele
miaka yote na tukaonekana wabaya. Tuko sambamba na wewe tunakuunga
mkono safisha nchi.. usilegeze upanga wako wala usijali vitisho vyao.
Tunakuombea ushujaa zaidi na roho ya Mungu iwe nawe" - alisema Gwajima
kwenye mahubiri yake leo kanisani kwake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment