Wednesday, December 16, 2015


HABARI - DEC 15 | AZAM TV
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, chasema hakitakuwa tayari kupinga kila jambo katika utendaji kazi wa serikali ya awamu ya tano na badala yake kitajielekeza katika hoja zenye masalahi ya taifa.
Posted by Simu.TV on Tuesday, December 15, 2015

0 comments:

Post a Comment