Najua nina watu wangu ambao mlikuwa mmemiss kazi za Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz, sasa good news ninayotaka kukupatia ni kwamba leo Dec 14, 2015 kashea na sisi hii cover ya single yake mpya iitwayo Achia Body inayotarajia kutoka hivi karibuni.
Hivi ndivyo cover la single hiyo mpya ilivyo..
0 comments:
Post a Comment