Posted by Williammalecela.com on Thursday, December 03, 2015
.
 |
| Hivi ndivyo wahuni huko bandarini na hasa wasafirisha makontena wamekuwa wakifanya, wanaweka magodoro na fenicha juu ya kontena na kuficha Range kwa ndani hivyo kupitisha Makontena kwa ujanja ujanja, Magufuli amesema leo kuna Serikali mpya na yeye ndiye Rais wake, ujanja ujanja mwisho. |
0 comments:
Post a Comment