Saturday, December 19, 2015

Kuelekea kutoka kwa album yake mpya ya  RED msanii kutoka Nigeria Tiwa Savage amefanya sherehe ndogo ya usikilizwaji wa album yake kwenye mgahawa wa Industry Nite mjini Lagos Nigeria.
Mastaa walihudhuria ni pamoja na Don Jazzy, Dr. Sid, D’Prince, Di’Ja, Korede Bello, Waje, 9ice, Tomi Odunsi, MC Galaxy, Iceberg Slim na Tee Billz.
Hizi ni picha za sherehe hio
img_5499 img_5500 img_5503 img_5505 img_5506 img_5508 img_5512 img_5513 img_5514 img_5514-1 img_5515 img_5516 img_5516-1 img_55011

0 comments:

Post a Comment