Tuesday, December 1, 2015




1 comment:

  1. Sawa kabisa kuishangaa CCM kwa kuvumilia uwozo kwa muda wote huo, lakini vile vile wakati tunaishangaa CCM tunapaswa kuipongeza CCM kwa kuchukuwa maamuzi magumu ya kumpitisha Magufuli kuwa ndie mtu sahii wa kubeba dhamana ya kuleta mabadiliko ya kweli Tanzania. Na wakati huo huo tusiache kuchukua nafasi hii ya kuwashangaa hao wanaojiita maprofesa kwa uamuzi wao ajabu wa kuishabikia na kuiunga mkono ukawa na chadema chini ya aliekuwa mgombea wao wa uraisi Ndugu lowasa ambae hakuna mtu asiejua kuwa ni fisadi na kama angelifanikiwa kushinda uraisi basi kikubwa angelikuja kukifanya ni kuyapaka mafuta majipu na kuyafanya yapendeze zaidi .

    ReplyDelete