Sunday, December 27, 2015





MWANAMITINDO na msanii wa move za kibongo ambaye pia inasadikiwa kuwa anatoka kimapenzi na msanii mahiri wa Bongo Fleva Ally Kiba japo kwa nyakati tofauti amekana hadaharani,Jokate Mwangelo amefunguka na kudai kuwa hajawai kuenjoy show kali kama ya jana ambayo Ally Kiba alikuwa akitumbuiza katika kufunga mwaka 2015

0 comments:

Post a Comment