Friday, December 25, 2015




 
Msanii wa kike mwenye sauti nyororo Ruby ameingia katika list ya wasanii ambao nyimbo zao zimeangaliwa sana kupitia mtandao wa You Tube, nyimbo hiyo ya Na Yule ambayo ina miezi saba tangu itoke imefikisha watazamaji 1,136,054.rubby viewers

0 comments:

Post a Comment