MBUNGE wa Jimbo la Kigoma Mjini na kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amesema kuwa chama chao kinanafasi ya kuongoza namna ya viongozi wanavyopaswa kuzinagtia maadili ya uongozi kupitia Halmashauri ya manispaa ya Kigoma ambayo kwa mara ya kwanza itaongozwa na Meya kutoka chama hicho
Meya wa kwanza wa Halmashauri ya kwanza kuendesha na ACT Wazalendo ndg. Hussein Ruhava. Pembeni ni Naibu Meya ndg Athumani Mussa
Posted by Zitto Kabwe on 17 Disemba 2015

0 comments:
Post a Comment