Wednesday, December 9, 2015

 

MBUNGE wa Mtama kwa tiketi ya CCM,ambaye pia ni katibu wa kamati kuu taifa itikadi na Uenezi,Nape Nnauye amewakibidhi pikipiki 20 makatibu kata wote wa himbo lake kwa ajili ya kuhakikisha wanakuwa na ufanisi bora katika kazi zao



0 comments:

Post a Comment