Msanii wa kike mwenye sauti laini na nyororo yenye kuvutia Rubby,
aliyejulikana kwenye game kupitia wimbo wake wa Na Yule alioandikiwa na
mwanamuziki mahiri nchini Barnaba na kumfanya kutambulika kutokana na
ujumbe wake wa kimapenzi kuwagusa wengi.
Rubby kwa sasa anatamba na nyimbo yake ya Sijutii ambayo haina muda
mrefu sana kwenye masikio ya mashabiki wake,huku tukiwa tunaelekea
mwishoni mwa mwaka 2016 wasanii wengi hueleza jinsi watakavyo funga
mwaka na kufungua mwaka,
Kwa upande wake Rubby ameeleza kuwa anampango wa kuunza mwaka kwa
kuachia Album yake, ambayo hakutaja jina na kueleza ataiuza kwa njia ya
aina gani kati ya Online au kutoa CD

0 comments:
Post a Comment