"Nashukulu MUNGU kwa kuelekea kumaliza 2015 pia nashukulu wadau kusapot kila nililobuni na kufanya pia ata kusimamia nashukulu Sana pia nashukulu viongozi wa nchi yangu kwa kulinda amani pia nashukulu kiwanda chetu cha bongo flevar kwa kunipa na kuniongezea thamani Africa mashariki na apa nyumbani pia na sasa naaza kupenya Africa pia nawashukulu wananchi wenzangu wa Kata ya kilungule kunipa ridhaa kuiongoza Kata yetu ya kilungule Asante now mkubwa fella diwani wa kilungule Asante MUNGU Asante Tanzania Asante TMK WANAUME,WCB WASAFI, MKUBWA NA WANAWE YOUTH OGANIZATION NA YA MOTO BAND NA INSHAALLAH MUNGU ANIWEKE MWAKANI NIWEZE KUONGEZA WASANII MJINI MIPANGO NI SALLAM TMK,WASWAHILI TIKATIKA NA BABY J INSHAALLAH .pia wadau nawakumbusha njoo mango garden tufurahi pamoja twanga pepeta wanamtambulisha kijana wetu kayumba wilaya ya kinondoni"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment