Sunday, December 6, 2015




MWANAMZIKI mahiri Shilole amewaacha watu njia panda mara baada ya kuweka ujumbe unaohusiana na kuchwa na kuumizwa katika mahusiano na mpenzi wako,huku ujumbe huo ukiwa namafumbo mengi yasiyoweza kufafanulika.

Mwisho wa ujumbe huo Shilole aliandika ujumbe unaowataka wanawake wote kuwakemea mapepo ambayo ahata hivyo hakutaka kuweka wazi ni mapemo ya ania gani

Tunakemea mapepoooo yasije tokea

A photo posted by shishi bybee /she roll it (@shilolekiuno) on

0 comments:

Post a Comment