Thursday, December 31, 2015

Hit Maker wa singo ya Duro kutoka Nigeria Tekno leo ametaja Wasanii wa Kitanzaniaambao tayari ameshafanya nao kolabo ambao hajui lini nyimbo hizi zitatolewa rasmi.Vanessa Mdee.
Vanessa-Mdee
Kwenye interview yake na kipindi cha XXL kutoka Clouds Fm Tekno amesema mpaka sasa amesharekodi na Rummy,Vanessa Mdee na Diamond Platnumz.
mond
Diamond
rummy
Rummy

0 comments:

Post a Comment