maisha yake kwani bibi yake huyo alikuwa akimpenda, kumlea na kumshauri mambo muhimu kwenye maisha.
Staa mwenye mvuto ndani ya Bongo Muvi, Kajala Masanja.Kajala alifunguka kuwa alipopata taarifa za msiba wa bibi yake alihisi kuchangayikiwa na maumivu yaliyosababisha mapigo ya moyo kupanda (presha).
“Siwezi kueleza ni jinsi gani nilikuwa nikimpenda bibi yangu, alikuwa ni msaada mkubwa sana kwangu.
Kila nilipotatizika na jambo lolote sikusita kumfuata na kumshirikisha, kiukweli ni pigo kubwa sana kwangu,” alisema Kajala.

chanzo;gpl
0 comments:
Post a Comment