Tuesday, December 8, 2015




STAA wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amewaacha njia panda mashabiki wake duniani kote mara baada ya kuwauliza swali tata juu ya kutotoa au kutoa trak ya kuagia mwaka.

Mkali huyo wa ngoma ya 'nana' na nyingine kali amewauliza mashabiki wake juu ya ni vipi watajisikia endapo atamaliza mwaka huu bila kutoa nyimbo mpya'

0 comments:

Post a Comment