Napenda kuwajuza watanzania kuwa Spika wa bunge la Tanzania JOB NDUGAI anaendelea vizuri huko India na yuko salama, kwani ameenda huko kwa ajili ya uchunguzi wa kiafya.Hali hii ndiyo iliyopelekea spika huyu kushindwa kuhudhuria hata matukio mbalimbali ya kuapishwa mawaziri wapya. Matukio haya na ukimya wa kutoonekana kwa spika huyo kumezua maswali mengi sana kwa watanzania kwani hakukuwa na taarifa rasmi kuhusu hili.
0 comments:
Post a Comment