Monday, December 7, 2015

DSC_0213
Kabla ya keki kukatwa burudani ya muziki ilianza
DSC_0218
Birthday Boy Simon Msuva akiongea na waalikwa kabla ya kukata keki
DSC_0220
Ikafika zamu ya Dumy Utamu kuongea na waalikwa kabla ya kukata keki
DSC_0224
Mdogo wake Simon Msuva ambaye anaitwa James Msuva akiwa na shemeji yakeMunira.
DSC_0227
Baadhi ya jamaa wa karibu wa Msuva na Dumy
DSC_0236
Mtangazaji wa redio Asha Manga akiwa pamoja na member wa Makomando Muki
DSC_0256
Fred kutoka kundi la Makomando alisimamia zoezi la kufungua champaign
DSC_0259
Champaign ikipita kwa kila mtu ila ilianza kwa Birthday Boy Msuva
DSC_0271
Simon Msuva na jamaa wanayefanana nae ila sio ndugu anaitwa Shabani Juma
DSC_0277
Kutoka kushoto ni shemeji yake Msuva, dada yake Msuva ambaye anaitwa Mary Msuvapamoja na Shabani Juma
DSC_0293
Zoezi la kumwagiana maji lilipoanza Dumy akatafuta upenyo wa kukimbia na kumuachaMsuva.
DSC_0299
Zoezi la kumwagiwa maji likaanza Dumy akakimbia na kumuacha Msuva akiogeshwa.
DSC_0311
DSC_0315
Muki na Msuva wakicheza muziki kidogo
DSC_0331
Simon Msuva akiwa na dancer wa Diamond Platnumz Mose Iyobo ambaye alikuja kushow love na Msuva na Dumy pamoja na jamaa akitoa ushirikiano katika picha.
DSC_0344
Kutoka kushoto ni MuniraMary Msuva na rafiki wa Msuva
DSC_0361
DSC_0366
Warembo pia walikuwepo kushow love na Msuva
DSC_0380
Mary Msuva alikuwa wa kwanza kula keki kwa upande wa Simon Msuva
DSC_0384
Birthday Boys wakilishana keki
DSC_0385
Birthday Boys wakilishana keki
DSC_0386
Simon Msuva akimlisha keki mdogo wake James Msuva ambaye nae yupo Yanga.
DSC_0394
Ikafika time ya Mose Iyobo kupata kipande cha keki
DSC_0412
Simon Msuva na Makomando
DSC_0439
Simon Msuva na mchezaji mwenzake wa Yanga na timu ya taifa Juma Abdul
DSC_0444
Mrembo katika picha ya pamoja na Simon Msuva

0 comments:

Post a Comment