Gari
iliyokuwa ikisafirisha magazeti ya Mwananchi Communications kuelekea
mkoani Mbeya na Iringa ikiwa imepata ajali Eneo la Kitonga Mkoani Iringa
leo asubuhi.
Kwa
mujibu wa Wakala Afisa mauzo wa magazeti ya Mwananchi Mkoa wa Iringa
Alex Kadea ambae alifika Eneo la tukio ameithibitisha kutokea kwa ajari
hiyo alipokuwa akizungumza na mwandishi wa mtandao www .
Matukiodaima.co.tz kuwa waliofariki dunia wote wawili walikuwa ni
madereva wa Gari hilo.



0 comments:
Post a Comment