Ummy Mwalimu
"Nimeupokea uteuzi uliofanywa na Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa heshma na unyenyekevu mkubwa. Nipo tayari kukabiliana na changamoto zinazoambatana na kazi hii ya Waziri wa Afya, Jinsia, Wazee na Watoto. #SasaKaziTu"

0 comments:
Post a Comment