STAA wa filamu kwa upande wa wanawake Jackline Wolper amefunguka juu ya siku yake ya kuzaliwa,ambapo amesema kuwa amefurahishwa na jinsi alivyoiadhimisha na kwamba anawashukuru mashabiki wake wote kwa kumuonyesha upendo na kumuunga mkono katika siku hiyo,huku akitoa big up kwa wakazi wenzake wa Kimara kwa kujumuika nae katika ufunguzi wa kisima cha maji alichokichimba kwa pesa yake kama sehemu ya shukrani kwa jamii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment