Thursday, January 28, 2016

Hali ya kutoeleweka inaendelea kuibua maswali kwa nini wahudumu wa ndege na watu wengine saba waliugua wakati ndege ya Shirika la ndege la American Airlines ikiwa angani ikikatiza Atlantic kuelekea Los Angeles.
Wahudumu wapatao saba na abiria wawili akiwemo mtu mzima mmoja wa umri wa miaka 60 na mwingine wa miaka 40 inaaminika walijisikia kupoteza fahamu wakiwa washasafiri maili 1,600 kati ya safari ya maili 5,500.
Abiria waliochanganyikiwa kwa hofu walioamba wapate kutibiwa na madaktari ndipo rubani wa ndege ya shirika la American Airlines, kuamua kutua kwa dharura kwa kurejea Jijini London katika uwanja wa Haethrow.

1 comment:

  1. Kwa Kwa Kwa!! Magamba hayatabaki after 25-October_2015 na JPM ndani ya Ikulu

    ReplyDelete