Mechi za Raundi ya 3 ya Kombe la FA,
ambalo kwa sasa linaitwa Emirates FA Cup ambalo huzikutanisha Klabu za
Ligi Kuu England na Daraja la kwanza Mechi zake zitachezwa mwishoni mwa
wiki hii...,
Jumamosi Manchester United watakuwa Old Trafford kucheza na Sheffield United, na Man City watakuwa ugenini kucheza na Norwich City.
Liverpool wao watafungua dimba Ijumaa wakiwa Ugenini kuivaa Exeter City huku Jumapili Tottenham wakiwavaa Leicester City ambao wako nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi kuu ya England.
0 comments:
Post a Comment