Nilikuwa kwenye usingizi mzito nimeshtuka nikakumbuka ni vizuri
Kuwapa asante wale wote walipiga goti kuniombea siku moja nipate faraja au tulizo la moyo ama stara kwa mwanmke wa kislam kma dini inavyosema
Kuwapa asante wale wote walipiga goti kuniombea siku moja nipate faraja au tulizo la moyo ama stara kwa mwanmke wa kislam kma dini inavyosema
Japo kwangu nilikuwa nimeweka nadhiri ya miaka 3 ikipita basi ridhki ya mume ikija milango iko wazi alhamdulilah imekuja wakati muafaka na siku muafaka baada nadhiri yangu kutimia
Mungu ni mwema sana namuamini sana na ananipenda sana ndio maana kaniumba anavyojua yeye tumshukuru mungu kwa hili,
Najiombea na wale wenye nia njema na mim tuwe pamoja
Iwe yenye neema ndoa hii aliyoipanga mungu pekee yeye ndie mwenye mamlaka juu ya hili barka, rehma,
stara, uvumilivu ridhiki, upendo uwe
juu yetu na bi mkubwa niliyemkuta aliyenipokea kwa mikono miwili kma mke
mwenziwe msiumize vichwa tunajuana tunaheshimiana mlale salama wapendwa

0 comments:
Post a Comment