Posted by Williammalecela.com on Saturday, January 16, 2016

“Asha umekumbwa na nini na kwann
unajaribu kufanya aya hao ijumaa ndo wamekufanya ufanye haya wanakulipa
kiasi gani shemej yangu mbna tulikuwa tunaheshimiana sana inamaana iyo
tuzo ya ijumaa sexiest girl ndo malipo yake kuwatafutia habar na habar
iyo ujaona watu wengine mpk kwangu mm ambaye atuna ayo mazoea na kwa
sababu gani ukaamua kunifanya ivi kama ulikuwa na matatizo ungeniambia
nikusaidie sio kunitendea ivi unataka kupata nini zaidi najua ulipanga
kila kitu ndo maana ulilazimisha kupiga picha na mimi na kulazimisha
nikubebe kwny gar kumbe ndo lengo lako ilo umeamua kunipeleka kwny
magazeti ya udaku kwa interest za nani na umepewa kiasi gani kuwatafutia
iyo stor iv unajua wameingiza kiasi gani kwa ilo hongera bana Ila mm
siwez kumfanyia ivi rafiki yangu asante sana mungu atalipa hili. Na nyie
ijumaa inamaana iyo tuzo mlimpa uyu mtoto muwe munamtumia kupata habar
zenu sio ok hongereni sana mungu atajaalia gazeti lenu liwe namba
moja.nakunja goti nasali kwako shemeji yangu asha ujiitae kidoa na pia
kwenu gazeti la ijumaa lengo lenu limefanikiwa mbarikiwe.samahanini wana
michezo ili suala sio la kweli na limeniuma sana ndo maana nimeliweka
apa” amesema Samatta
0 comments:
Post a Comment