Posted by Williammalecela.com on Monday, January 04, 2016
 |
Kampuni
ya UDART, mradi wa mabasi ya mwendo kasi imetuma maombi SUMATRA, nauli
ipandishwe na kuwa kati ya Tsh 1,200 - 1,400 kwa safari ya njia kuu.
Wanafunzi kulipa nauli ya mtu mzima. - Kwa mujibu wa sheria ya
SUMATRA, Mamlaka inapswa kukusanya maoni ya wadau kabla ya kufikia
uamuzi wa kuridhia wa viwango vya nauli. |
0 comments:
Post a Comment