Posted by Williammalecela.com on Monday, January 25, 2016
Mwanasheria Mkuu (AG) wa zamani Zanzibar, Othman Masoud Othman, amesema
"Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, anapaswa kujiuzulu kwa sasa
na Jaji Mkuu kuviongoza visiwa hivyo kwa
kuunda kamati maalum itakayochunguza uhalali wa kufutwa kwa matokeo ya
uchaguzi mkuu visiwani humo."
0 comments:
Post a Comment