Monday, January 4, 2016

Za mwizi 40
"Mtu anayedaiwa nikibaka ambae ameniambia anaitwa Juma,
akiwa chini ya ulinzi wa wananchi mbezi kawe beach karibu na madarasa ya university of bagamoyo na redio Times Kawe Beach Dar es Salaam,baada ya kupata kipigo kutoka kwa wananchi wenye hasira baada ya kumkata wakati akiwa amemaliza kupora simu ya mwanafunzi mmoja.eneo hilo hivi sasa limekithiri kwa vibaka kuanzia mchana hadi jioni ambao wanashughuli moja ya kupora simu na komputa za baadhi ya wanafunzi wa UB na wakazi wa eneo.
Niliwashauri wampakize kwenye bajaji wampeleke kituo cha polisi Kawe na ndio wamempeleka na hilo panga lake.Watu wamefurahishwa sana na huyo mtu kupewa kipigo maana wamezidi wizi kwa wanafunzi hao."


0 comments:

Post a Comment