Friday, January 8, 2016


 

Jarida la ‘African Sun’ la nchini Marekani linaloongoza kwa kuripoti mambo ya Afrika, limemtaja Rais Mstaafu Kikwete kama Rais Bora Afrika mwaka 2015.

  Aliyekuwa Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan, ametajwa kama mtu wa Kimataifa wa mwaka (International Person of the year 2015)

0 comments:

Post a Comment