Posted by Williammalecela.com on Saturday, January 23, 2016
Aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ADC Zanzibar Hamad Rashid amevuliwa
uanachama wa chama hicho baada ya kuunga kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa
Rais na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi zanzibar ZEC, Bwana JECHA.
0 comments:
Post a Comment