JWTZ imetoa ufafanuzi juu ya mavazi ya Kijeshi aliyovaa Amiri Jeshi Mkuu
Mh. John Pombe Magufuli. Msemaji Mkuu wa JWTZ Kanali Ngemela Lubinga
alieleza ya kuwa Mh. Rais alikuwa sahihi kuvaa mavazi Yale katika siku
ile kwa kuwa alikuwa anaenda kwenye shughuli za Kijeshi. Na pale
aliposimama kuongea na Wananchi haikuwa kwenye ratiba ya Mh. Rais, bali
Wananchi walifunga barabara na kuomba Rais awasalimie.
SOURCE;JAMII FORUM

0 comments:
Post a Comment