Serikali kupitia Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya makazi Wilium Lukuvi,
imeliagiza jeshi la polisi na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa kuwakamata, kuwahoji na kuwafikisha mahakamani viongozi na watendaji wote hata kama wamestaafu madaraka yao, waliohusika kutoa shamba la ukubwa wa zaidi ya hekari 3,500, katika kijiji cha Mlilingwa kata ya Tununguo tarafa ya Ngerengere wilayani Morogoro, kwa mwekezaji toka kampuni ya Oxford Trading L.T.D kinyume na taratibu na kwa kugushi nyaraka.

0 comments:
Post a Comment