Wednesday, January 27, 2016




TBC walikuwa na fedha ya kurusha hotuba ya Rais 'live' ila hawana fedha ya kurusha mjadala wa hotuba hiyo! Nilisema. Dola inataka Bunge kibogoyo.

 Kuna wanaouliza, USA wanaonyesha Bunge 'live'? UK je? Ifahamike kuwa Nchi hizo mabunge yao yana TV na yanarusha live mikutano yao. Mpaka hapo hilo litafanyika nchini kwetu, TBC wana wajibu wa kuwapa habari wananchi. Kuzuia kurusha mikutano ya Bunge 'live' ni dalili za udikteta.

 Hoja ya gharama ni hoja dhaifu sana katika kuzuia mikutano ya Bunge kurushwa 'live'. Demokrasia ni gharama


Kuna wanaouliza, USA wanaonyesha Bunge 'live'? UK je? Ifahamike kuwa Nchi hizo mabunge yao yana TV na yanarusha live...
Posted by Zitto Kabwe on Wednesday, January 27, 2016

0 comments:

Post a Comment