Friday, January 29, 2016

diamond platnumz
Post ya Diamond Platnumz kuhusu kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa mshkaji wake Idris Sultan ime tengeneza kiki kwenye mitandao ya kijamii.

Jambo hili limeshtua wengi ambao wanajua kuwa Wema aliwahi kuwa na Diamond Platnumz na sasa anategemea kuwa na mtoto na staa wa big brother Idrs Sultan.
idris
Diamond hana tatizo na mtu.

0 comments:

Post a Comment